Promote your business for free grow your business for life you don't need to spend more money anywhere.

THIS BLOG IS SPONSORED BY AHADIWAY ,ADVANTAGES FOR JOINING AHADIWAY BOON CAREER (ABC) CHAPTER = Employment opportunities within and outside the country. , Job experience , Self -employment , Field stations, part time jobs and chances to be trained.

Saturday, May 26, 2012

Mke wa Best Friend kanishukia, nimwambie Mshi'ji?

Dada Nitonyeni samahani sana kama nitakuwa nimekosea kuweka issue yangu hapa kwako. Kutokana na kujibu kwako nimegunduakuwa wewe unanafasi kubwa sana kwenye huelimisha jamii na itakuwa vizuri sana kama utafanya hivi kwa watu ambao hawana uwezo wa kutumia net. Ushuri wako ndio utakao nisaidia nijue nini cha kufanya baada ya tukio lililonitokea.

Mimi ni mwanaume wa miaka 31, nilipata ajali ya gari na kulazwa hospitali kwa miezi sita, nilipotoka hospitali Rafiki yangu tulieshibana akanialika kwenda kuishi nae nyumbani kwake mpaka nitakapoweza kutembea vizuri (si unajua maisha ya Ulaya kama huna ndugu inakuwa balaa), sasa rafiki yangu yeye na mkewe ni wachapa kazi sana na ni wema kuliko marafiki zangu wote niliwahi kuwa nao na ndio maana tumeshibana na tunasaidiana kwa kila jambo zuri na baya.


Ukweli ni kwamba ninamwanamke wangu ambae anaishi na wazazi wake hivyo nisingeweza kwenda kuishi huko kwao na yeye haruhusiwi kuja kukaa na mimi nyumbani kwangu hivyo huwa tunakutana kila tunapokuwa na nafasi.

Jumamosi moja tulikuwa tunaangalia X factor, mara nikawa naji-massage mguu wangu ambao haujapona vema kama nilivyoelekezwa na Daktari, Rafiki yangu akaanza kunicheka na kusema kwanini nisimuombe mkewe anikande (massage).....mimi nikakataa nakusema kuwa huwa nafanya hivi mwenyewe kila siku.Rafiki yangu akasisitiza kuwa nimuombe mkewe, mimi sikufanya hivyo. Mara jamaa akamwambia mkewe hebu msaidie huyo naona anaogopa kuomba.....shemeji akasogea na kuanza kunikanda mguu wangu mbovu.Wakati anaendelea akili yangu ikahama ghafla na nikawa nahisi kama vile mwanamke wangu ananifanyia hivyo, nikashituka na kumwambia mke wa rafiki aache kunikanda kwani inatosha nahitaji kupumzika.


Mimi niliondoka na kwenda chumbani kwangu kwa muda kwenda kuwaza na kuwazua na vilevile kujaribu kuhamisha mawazo ya mwanamke wangu hasa ukizingatia sijaonana na mpenzi wangu kimwili kwa miezi sita nilipokuwa Hospitali kwa vile nilikuwa siruhusiwi kufanya ngono kwani ingeweza kunisababishia matatizo mengine.Nilishindwa kuhamisha mawazo yangu na nikadindisha, hilo lilipotokea nikaamua kwenda bafuni ili nikajisaidie kwa mkono, before I knew it, mke wa rafiki yangu alikuwa mbele yangu na kuanza kuchezea sehemu zangu za siri na kisha kunipa mdomo.


Hakiyanani vile nilitamani kupiga kelele kumuita rafiki yangu lakini nikashindwa kufanya hivyo, na haikuchukua muda mrefu nikamaliza. Nilianza kujisikia vibaya sana na nikashindwa kwenda kukaa pale sebuleni kuendelea kuangalia Xfactor hivyo nikaminya chumbani kwangu.


Baada ya hapo nikawa siko huru kukaa nao karibu hivyo mara nyingi nilikuwa najibana chumbani kwangu na kuongea na mpenzi wangu kwa simu au kuwa online na baada ya kupona kabisa nilirudi nyumbani kwangu na nikawa na onana na mpenzi wangu kama kawaida na sasa tumechumbiana.


Sasa swali langu dada dinah ni hili, je nimuambie mshikaji kuwa mkewe alinibaka au niuchune tu? pia vipi kuhusu huyu mchumba wangu, nimuambie kuwa nilipokuwa naugua kule kwa mshikaji mkewe alinibaka au niache kama ilivyo?Nitashukuru kama mnanipa maoni ili nijue nini cha kufanya ili nisiharibu ndoa ya mshikaji. Asanteni. Joachim"

Jawabu:Pole sana kwa mkasa uliokukuta, kwa mtu ambae naujua mwanaume au yeye mwenyewe ni mwanaume atakuelewa lakini atashindwa kuamini kama huendelea na kumaliza full mchezo.

Katika hali halisi hakuna mwanaume atamshauri mkewe amkande miguu au hata mguu mwanaume mwingine, huyu rafiki yako huenda anawalakini. Isije kuwa hawezi kufanya mambo fulani na akakuchagua wewe bila kujua ili umsaidie(heheheheh joke! )..anyway!


Kutokana na maelezo yako huyu mwanamke inaelekea alikuwa na nyege au alikuwa akikutamani kabla ya ajali na kuhamia kule kwako. Ile kukukanda mguu kwa ruhusa ya mumewe ilikuwa kama tiketi ya yeye kujaribu zali na nina uhakika kabisa alikupa "massage" ya kunyegesha......huyu mdada anajua kabisa kuwa miguu kwa baadhi ya wanaume zinauhusiao mkubwa sana na ngono, yaani kukandwa miguu kunasababisha nyege. (Kule kwetu huwa tunafundishwa kukanda miguu kama ishara ya kumuambia mumeo kuwa unampenda na vilevile unataka mambo fulani hasa kama kuna wageni).

Sasa kwa vile wewe hukufanya ngono kwa miezi sita kutokana na sababu za kitibabu hakika huo ulikuwa mtego mbaya sana. Mwanaume wa umri wako kutofanya ngono kwa kipindi kirefu hivyo aisee sio mchezo......hongera sana!

Huyu Shemeji aligundua kuwa kukukanda kwakwe kumekusababishia nyege na inaonyesha alikuwa anakufuatilia kwa karibu sana na ulipokwenda chumbani kwako huenda alitaka kukufuata lakini akashindwa alipogundua uko bafuni (ilikuwa upstairs nini) akashindwa kuvumilia na kukufuata hukohuko bafuni nakukufanyia alichokufanyia.

Huyu mwanamke pengine alikuwa akitegemea zaidi kwa vile alijua kabisa unahitaji tendo hilo hivyo hata "kwiki" a.k.a shaa shaa mtapena lakini kwa bahati mbaya haikuwa hivyo.

Kama ulivyogusia hapo mwanzo kuwa pea hii ni wachapa kazi , hilo pekee linaonyesha kuwa hawaridhishani au hawana muda wa kufanya mapenzi kwa vile wanakuwa wamechoka kimwili na kiakili.

Huyo mwanamke hajiheshimu na wala haeshimu ndoa yake, ktk hali halisi huyo mwanamke sio muaminifu na you can imagine anaweza kufanya mangapi ikiwa mume wake hayupo karibu? Jamaa kaoa Mlupo....anyway hilo tatizo lake sio lako.

Nini cha kufanya-Punguza ukaribu na familia hiyo kwa kuhama eneo unaloishi (kama mko karibu) ili kuwafanya wasikutembelee mara kwa mara kwani kutakufanya usiwe comfy kila unapokuona Shemeji'o.

Hakuna sababu ya msingi ya wewe kumueleza rafiki yako kuwa mkewe alikubaka kwani itakuwa ngumu kwake kuamini kama uliishia tu kunyonywa sio hivyo tu pia anaweza kudhani kuwa unataka kuharibu ndoa yake kwani huna ushahidi kuwa mkewe alikufanyia alichokufanyia. hilo moja


Pili, mchumba wako anapaswa kujua na anahaki ya kujua ukweli ulipokuwa ukiuguzwa, lakini kama nilivyosema kwa kufanya hivyo kunaweza kuharibu ndoa ya mwenzio kwani unauhakika gani kuwa huyo mchumba hatokwenda kumkomesha mkewe wa rafiki yako?


Kumbuka ninyi ni marafiki na yeye kama mwanamke hatoweza kuvumilia kitendo kichafu mwanamke mwenzie ambae labda anamueshimu kufanya alichokifanya kwako na hapo ndio itakuwa chanzo cha vurugu.

Mtakapo oana/fungandoa basi unaweza kumueleza kisa chote, kwa vile itakuwa miaka imepita itakuwa rahisi kukuelewa, kusamehe na kuheshimu u-honest wako kwake (wanawake tunapenda wanaume ambao ni honest)......

Kila lakheri ktk kutunza kasiri kako.

No comments:

Umesoma hizi hapa