Promote your business for free grow your business for life you don't need to spend more money anywhere.

THIS BLOG IS SPONSORED BY AHADIWAY ,ADVANTAGES FOR JOINING AHADIWAY BOON CAREER (ABC) CHAPTER = Employment opportunities within and outside the country. , Job experience , Self -employment , Field stations, part time jobs and chances to be trained.

Sunday, May 27, 2012

MBUNGE WA ROMBO,MH JOSEPH SELASINI APATA AJALI MBAYA JIONI YA LEOMbunge wa Rombo, Mhe. Joseph Selasini amepata ajali mbaya  sana wakati alipokuwa akiendesha gari lake mkoani Kilimanjaro, ambapo watu 3 kati ya watu 6 waliokuwemo kwenye gari hilo hali zao ni mbaya na wamechukuliwa na gari la polisi kupelekwa hospitali.


Kamanda wa polisi mkoa wa Kilimanjaro Kamada Absalom Mwakyoma amesema kwa sasa hawezi kuthibitisha kwamba ni watu wangapi wamepoteza maisha katika ajali hiyo kwani daktari ndiyo mwenye dhamana ya kuthibitisha kifo.

Amewataka waandishi wa habari wawe watulivu wasubiri kidogo kwa sasa, taarifa zaidi atazitoa muda mfupi ujao baada ya kujua hali halisi ya tukio hilo kwani kwa sasa yuko njiani akielekea eneo la tukio.

No comments:

Umesoma hizi hapa