
Tid akamatw na flora.jamani hiini kali baada yakupiga picha na watu wa x factor sasa aamua kurudi nyumbani kuwachangamkia wasaani wenye maisha yao.sasa hebu tuone atafika wapi.tumejaribu kumtafuta hatuja mpata lakini ametuandikia ila hakuacha number ya sim wala e mail yake sasa basi mkisoma ujumbe huu mwaombeni atutumie ili TUWASILIANE NAYE TUMSHAURI .MHARIRI NITONYENI
2 comments:
muacheni dada wa watu hai huuuuuuuuuuuuu kabisa
huyudada yupo juu sana hatamimi namfagilia picha zake haswa zilizoko face book.keep it up sis.nimependa sana ulipo wekwa kwenye hii blog maana unatuwakilisha moshi
Post a Comment