Promote your business for free grow your business for life you don't need to spend more money anywhere.

THIS BLOG IS SPONSORED BY AHADIWAY ,ADVANTAGES FOR JOINING AHADIWAY BOON CAREER (ABC) CHAPTER = Employment opportunities within and outside the country. , Job experience , Self -employment , Field stations, part time jobs and chances to be trained.

Tuesday, November 13, 2012

KUKATA TAMAA NI UGONJWA
Tunaishi kwenye jamii ya watu walio na mitazamo tofauti juu ya

 maisha,wana tenda matendo tofauti,wana fikiri kitofauti,

hawafanan
i wanapo onyesha hisia zao juu ya masuala mbali mbali ya kimaisha.

kila mmoja ana mfumo wake wa maisha,na kila siku

 watu wanapoendelea na maisha,hukutana na changamoto 

mbali mbali za kimaisha.


Tumetofautiana jinsi tunavyokabiliana na

 kuta tua changamoto hizo,wapo wengine

 wanaokata tamaa ya maisha,kwa sababu

 ya matatizo yanayo wakumba.


Hakuna anayependa,kukumbwa na 

matatizo,ukiona huna matatizo 

mengi,mshukuru Mungu,ujue ni neema 

yake ipo juu yako.Ninacho amini ni 

kwamba “Hatu kuumbiwa kukata tamaa” 

,lakini kuna watu tayari wameshakata tamaa na 

maisha,na hatuwezi kuwa acha waendelee na 

kukata tama,ungana nami katika kuihamasisha 

jamii yetu,ili tuone watu wakihamasika na kuyafurahia maisha.

No comments:

Umesoma hizi hapa