Promote your business for free grow your business for life you don't need to spend more money anywhere.

THIS BLOG IS SPONSORED BY AHADIWAY ,ADVANTAGES FOR JOINING AHADIWAY BOON CAREER (ABC) CHAPTER = Employment opportunities within and outside the country. , Job experience , Self -employment , Field stations, part time jobs and chances to be trained.

Thursday, May 2, 2013

SUPER STAR WEMA SEPETU SHOW TIME!! LIKE NEVER BEFORE take two


 Kwa kawaida uwaonyesha upendo wa hali ya juu  wafanyakazi wake na mara nyingi upenda kuitwa mama.kutokana na anavyowatrity wafanyakazi wake kama watoto wake wakuwazaa.Hii ndio sababu ya wafanyakazi wake upenda kumwita wema mama na si sababu ingine.pichani wema akimbusu tiny daddy mzazi.

 Wakati wote ni wakati wa furaha japokuwa kuna mda mwingine mama uamka amekarika kidogo labda shemeji nyumbani amemstress kidogo na vitu kama hivyo kwahyo ni mambo yakawaida kibinadamu ndiokwenye picha hajacheka sana.inaonekana itakuwa amelazimishwa!

Hii hapa TEAM ENDLESS FAME kiukweli NAWAFAGILIA SANA na NAWAKUBALI MKO JUU na ni mfano wakuigwagwa.

 Wakati mwingine ucheza na kufurahi na timu hasa anapoharikwa kwenye shghuli mbalimbali bila yakuweka mapozi wala kuleta ustar huyu ndio wema hapo akiwa na manager wake MARTIN KANDINDA.

 Na huu ndio mkoko wake mie napokutana nao njianinikiwa na ki OPER changu au nikiukuta umepaki pale oficekwake nje napenda kuuhita HESHIMA KWA WANAWAKE.Q7 
ZC
Na mwisho kabisa namleta kwenu kijana mtanashart anaesimamia kazi zote za WEMA SEPETU the super duper DISINER MR SINGLE BUTON Ladis and gentleman put ur hand up kwa MARTIN KADINDAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Nimemaliza.

No comments:

Umesoma hizi hapa