Promote your business for free grow your business for life you don't need to spend more money anywhere.

THIS BLOG IS SPONSORED BY AHADIWAY ,ADVANTAGES FOR JOINING AHADIWAY BOON CAREER (ABC) CHAPTER = Employment opportunities within and outside the country. , Job experience , Self -employment , Field stations, part time jobs and chances to be trained.

Friday, October 19, 2012

BREAKING NEWS: WAISLAM JIJINI DAR WAANZA MAANDAMANO MCHANA HUU,VURUGU KUBWA LAZUKA KARIAKOO


 
Wanajeshi hao kwenda kudhibiti Maandamano
Embedded image permalink
WAISLAM JIJINI DAR WAMEANZA MAANDAMANO MCHANA HUU KUTOKEA KATIKA MISIKITI MBALI MBALI ILIYOPO KATIKA MAENEO YAO.

ASKARI WA JESHI LA POLISI WAMETANDA KILA KONA YA JIJI LA DAR ILI KUZUIA KUFANYIKA KWA MAANDAMANO HAYO,YENYE KUTAKA KUACHIWA HURU KWA BAADHI YA WAISLAM,AKIWEPO KATIBU WA JUMUIYA NA TAASISI ZA KIISLAM NCHINI,SHEIKH ISSA PONDA WANAOSHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA MAKOSA MBALI MBALI YAKIWEPO YA UCHOCHEZI WA UDINI.

KATIKA MAENEO YA KARIAKOO,HALI IMEANZA KUWA TETE KWANI VURUGU NI KUBWA SANA HIVI SASA KATI YA ASKARI POLISI NA WAISLAM HAO.

 ENDELEA KUFUATILIA KWA UKARIBU HALI HIYO NA ITAENDELEA KUKUPA TAARIFA KADRI ZITAKAVYOKUWA ZINAPATIKANA.

No comments:

Umesoma hizi hapa