Promote your business for free grow your business for life you don't need to spend more money anywhere.

THIS BLOG IS SPONSORED BY AHADIWAY ,ADVANTAGES FOR JOINING AHADIWAY BOON CAREER (ABC) CHAPTER = Employment opportunities within and outside the country. , Job experience , Self -employment , Field stations, part time jobs and chances to be trained.

Friday, May 11, 2012

LOWASSA AKATAZA WANACHAMA KUHAMA CCM!!



MBUNGE wa Monduli, Edward Lowassa amekuwa akifanya mikutano
ya ndani na ya hadhara jimboni 
humo katika kinachoonekana ni kuzima wimbi lililoibuka hivi karibuni
la wanachama wa CCM kuhamia
Chadema. 

Tangu kujiuzulu kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa
CCM (UVCCM) wa Mkoa
wa Arusha, James ole Millya, limekuwapo wimbi la wana CCM kuhamia
Chadema katika mikoa kadhaa
nchini. 

Mbali na Millya, wanachama wa CCM wakiwamo viongozi wenye nafas
i za udiwani, walitangaza
kuhamia Chadema ambayo moja ya ngome zake ni Arusha iliko na
wabunge wawili; Arumeru 
Mashariki na Karatu. 

Chadema pia ilikuwa ikiongoza Jimbo la Arusha Mjini kabla ya matokeo
yake kutenguliwa na
Mahakama Kuu ya Tanzania kutokana na kesi iliyofunguliwa na
wanachama watatu wa CCM. 

Lowassa alifanya mikutano ya ndani jana eneo la Mto wa Mbu na
wa hadhara, ambako aliwaambia
wananchi, kwamba pamoja na kuwa suala la kujiunga na chama
chochote cha siasa ni haki ya 
yeyote, lakini haoni umuhimu wa wanaCCM kuhama sasa

No comments:

Umesoma hizi hapa