Promote your business for free grow your business for life you don't need to spend more money anywhere.

THIS BLOG IS SPONSORED BY AHADIWAY ,ADVANTAGES FOR JOINING AHADIWAY BOON CAREER (ABC) CHAPTER = Employment opportunities within and outside the country. , Job experience , Self -employment , Field stations, part time jobs and chances to be trained.

Sunday, September 19, 2010

taarifa ya msiba

taarifa ya msibaTunasikitiza kutangaza kifo cha Pr. Joseph Shem Onyango (pichani) Kilichotokea jana mchana Kihonda, Morogoro kutokana na ajali ya barabarani. Mchungaji alikuwa akielekea kwenye kituo cha basi tayari kwa safari ya kwenda dar kushiriki katika sabato ya wageni jumamosi tarehe 18.9.10 kwenye kanisa la Tegeta.
Marehemu alizaliwa 1936 na amekuwa akilitumikia kanisa la waadeventista wasabato kwa zaidi ya miaka 40, Pr. atakumbukwa sana na watu wengi africa mashariki kutokana na huduma zake kwenye kanisa za kaya na familia pamoja na sera za ndoa.
Kwa masikitiko makubwa, tunawaletea taarifa za kifo cha PR JOSEPH ONYANGO

kilichotokea leo Morogoro Tanzania mnamo saa 11:00-UK time saa 7:00 mchana
(Tanzanian Time) kwa kugongwa na pikipiki.
Kwa wale wanaopenda kuwapa pole ifuatayo ndiyo anwani ya kijana wake
PAUL ONYANGO:
Flat 16

Block 14
Carcort
RG30 3PZ
Tafadhari tuwakumbuke waliobaki katika maombi yetu na faraja pia.
Mazishi yanategemewa kufanyika alhamisi mji wa morogoro.
Asanteni

No comments:

Umesoma hizi hapa