Promote your business for free grow your business for life you don't need to spend more money anywhere.

THIS BLOG IS SPONSORED BY AHADIWAY ,ADVANTAGES FOR JOINING AHADIWAY BOON CAREER (ABC) CHAPTER = Employment opportunities within and outside the country. , Job experience , Self -employment , Field stations, part time jobs and chances to be trained.

Sunday, September 19, 2010

CCM TANGAZO FOR READING UK

CHAMA CHA MAPINDUZISHINA LA CCM READING


KIKAO CHA SHINA - 25/09/2010 (Jumamosi)

Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Shina la Reading . Mnakaribishwa kwenye kikao cha shina cha kila mwezi,ambapo tutajadili mambo mbali mbali yanayohusu shina letu. Jitokezeni kwa wingi ,mjulishe mwanachama mwenzako pia.Anuani: The Warehouse


01 Cumberland Road


Reading


RG1 3LB
Muda: Saa 10 Jioni - Saa 12 Jioni.
Kutakuwepo na Kadi za CCM ambazo zitatolewa kwa Wanachama wapya na wale ambao kadi zao uanachama zimekwisha muda (Kadi paundi Tatu - £3, Ada ya mwaka paundi Kumi na Mbili - £12),Akikisha unakuja na ada ya Kadi
Kwa ufafanuzi zaidi tafadhali wasiliana na Katibu wa Shina;


Hussein Chang'a kwenye barua pepe: ccmreading2010@gmail.com
http://www.ccm-shinareading.blogspot.com/


KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI

No comments:

Umesoma hizi hapa