Promote your business for free grow your business for life you don't need to spend more money anywhere.

THIS BLOG IS SPONSORED BY AHADIWAY ,ADVANTAGES FOR JOINING AHADIWAY BOON CAREER (ABC) CHAPTER = Employment opportunities within and outside the country. , Job experience , Self -employment , Field stations, part time jobs and chances to be trained.

Friday, February 28, 2014

PRINCE AMOS KUIMBA LIVE KICC

Muimbaji wa muziki wa injili Prince Amos, anatarajia ku perform live kesho tarehe 1/3/2014. katika ukumbi wa KICC Nairobi Kenya, Kwenye mkutano mkubwa sana wa Family media. mkutano hua utakua wakipekee kwani kutakua na wageni kutoka nchi mbali mbali, pamoja na wahubiri wakubwa Duniani. Katika taarifa kwa vyombo vya habari Prince Amos amesema ''Namshukuru Mungu kwa nafasi niliyopata ya kumtukuza Mungu mbele ya mataifa, Namwamini Mungu kwamba nitafanya vizuri katika huduma hiyo na jina la Bwana litatukuzwa''

No comments:

Umesoma hizi hapa