Promote your business for free grow your business for life you don't need to spend more money anywhere.

THIS BLOG IS SPONSORED BY AHADIWAY ,ADVANTAGES FOR JOINING AHADIWAY BOON CAREER (ABC) CHAPTER = Employment opportunities within and outside the country. , Job experience , Self -employment , Field stations, part time jobs and chances to be trained.

Tuesday, May 14, 2013

PRINCE AMOS AINGIA KWENYE TOP TEN ZA CITIZEN TV KENYA

Wimbo wa Prince Amos "Uwe mwamimifu" Umefanikiwa kuingia katika Countdown [top ten] za Kipindi cha Rauka kinachorushwa na Citizen tv cha nchini kenya. Wimbo huo umefanikiwa kuingia katika kumi bora baada ya kupata kura nyingi kutoka kwa watazamaji. kipindi cha rauka ambacho ndicho kipindi chenye mashabiki wengi zaidi nchini kenya na Afrika mashariki. kilianza kucheza wimbo wa Prince Amos kwa mara ya kwanza juma pili iliyopita. Mungu amezidi kumuinua mtumishi wake katika anga la muziki wa injili kenya na Prince Amos ameahidi kuendelea kumtumikia Mungu anae zidi kumuinua kihuduma


3 comments:

Anonymous said...

DJ spins out on Saturday nights. *Rounds table format. Ask your local club
to run this for you.

Here is my page :: pub quiz names

Anonymous said...

You still have to expert all of those other guitar chords so as
to engage in very easy popular music. Now among the advice of your educational materials, shoring jar discover all
the things of the substitute chords. The last type of chords we will discuss
in this article are spread voicings.

my site; piano chords a thousand miles

Anonymous said...

By dividing up the party at several peoples houses you make it easy on
yourself. I won't spoil your surprises and give away any more details. I hope you have fun planing a birthday party for your tween, I hope my birthday party ideas for tween's helped you.


my blog; reverse mortgage

Umesoma hizi hapa