Promote your business for free grow your business for life you don't need to spend more money anywhere.

THIS BLOG IS SPONSORED BY AHADIWAY ,ADVANTAGES FOR JOINING AHADIWAY BOON CAREER (ABC) CHAPTER = Employment opportunities within and outside the country. , Job experience , Self -employment , Field stations, part time jobs and chances to be trained.

Thursday, May 30, 2013

MKUTANO WA KUJADILI WAFANYAZI WA MAJUMBANI WAZINDULIWA JIJINI DAR ES SALAAM


SONY DSCMkurungenzi msaidizi Wizara ya Kazi na Ajira, Bw.Ally Msaki akisoma hotuba wakati akifungua mkutano wa kimataifa wa siku tatu kutoka nchi mbalimbali  za Afrika unaojadili  wafanyakazi wa majumbani , wa ndani kwa nchi za Afrika ikiwemo Tanzania. Mkutano hauo uliandaliwa na shirika la kazi duniani ILO unaofanyika kwenye ukumbi wa Kazi House ILO jijini Dar es salaam leo. SONY DSCWawakilishi kutoka nchi za Afrika wakiwa kwenye mkutano wa siku tatu wa kujadili wafanyakazi wa majumbani ambao umefanyika katika ukumbi wa Kazi House,  jijini Dar es salaam
SONY DSCWafanyakazi wa majumbani wakiwa wamesimama na mabango wenye jumbe mbalimbali wakati wa mkutano wa kimataifa wa siku tatu kutoka nchi mbalimbali  za Afrika unaojadili  wafanyakazi wa majumbani  kwa nchi za Afrika uliondaliwa na shirika la kazi duniani (ILO) ambao umefanyika leo  kwenye ukumbi wa Kazi House Ilo jijini Dar es salaam . SONY DSCWawakilishi kutoka nchi za Afrika wakiwa kwenye mkutano wa siku tatu wa wakujadili wafanyakazi wa majumbani ambao umefanyika leo katika ukumbi wa Kazi House,  jijini Dar es salaam
SONY DSCMkurungenzi msaidizi wa Wizara ya kazi na ajira Bw. Ally Msaki akiwa kwenye picha ya pamoja na wawakilishi  kutoka nchi za Afrika mara baada ya kufungua mkutano wa kimataifa wa siku tatu kutoka nchi mbalimbali  za Afrika unaojadili  wafanyakazi wa majumbani  kwa nchi za Afrika. Mkutano huo umeandaliwa na shirika la kazi duniani (ILO) na umefanyika katika ukumbi wa Kazi House Ilo,  jijini Dar es salaam leo.
(PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE)

No comments:

Umesoma hizi hapa