Promote your business for free grow your business for life you don't need to spend more money anywhere.

THIS BLOG IS SPONSORED BY AHADIWAY ,ADVANTAGES FOR JOINING AHADIWAY BOON CAREER (ABC) CHAPTER = Employment opportunities within and outside the country. , Job experience , Self -employment , Field stations, part time jobs and chances to be trained.

Saturday, May 19, 2012

DALILI ZA MWANAUME ALIYE TAYARI KWA MAISHA YA NDOAUkijaribu kuchunguza maisha ya sas utabaini kua wanaume wanaoingia kwny mahusiano ya kimapenzi na kuoa kila siku ni wengi sana lakini jeeeee wanaoolew wote wanaingia kwny maisha ya ndoa sahihi...jibu ni hapana na hii ni sababu wanawake wengi wanakubali kuolewa na wanaume ambao hawakujiandaa kwny maisha ya ndoa...DALILI HIZO NI...

1.WALIOBAINI KUA NA MUDA MUAFAKA WA KUOANA
Unaweza  kua kwny uhusiano na mwanaume ambaye umri wake umekwenda lkn bado anaona anastahili kua kwny maisha ya ubachela na ukikubali kuolewa na mwanaume wa sampul hii lazima atakusumbua lakin yule ambae amekaa akatafakari kisha akagundua kua ni muda muafaka wa kuoa ni wazi huyo atakua amejiandaa na hata ukimkubalia sidhan km utajuta

2.ANAJIAMINI, SIYO TEGEMEZI
Ni kweli mapenz hayana uhusiano wwte na fedha lkn ki ukweli usiofichika ni kwamba km mwanaume hana kazi inayoweza kumuingizia kipato hawez kua miongon mwa wale wanaostahili kuingia kwny maisha ya ndoa. Ukikubali kuolewa na mwanaume asiye na ki2 eti kisa kwa sababu umempenda na moyo wako hauko tayar kumkosa ujue unajiingiza kwny maisha ya bahati nasibu ki2 ambacho siyo kizuri,bora mwana mke uwe na kazi na si eti wotehamna kazi,sasa mtaishije bila helaaa. Km huyo uliyenaye siyo tegemez ni m2 mwnye uwezo wa kukulisha basi ana dalili za kua tayar km mume

3.ANACHUKUA NAFASI YA BABA
Kuna baadhi ya wanaume licha kwamba hawajaingia kwny maisha ya ndoa na hawajafanikiwa kua na watoto lkn wameshaanza kuzishika nafas za ubaba. Unaweza kua na mpnz akawa ni m2 wa kupenda sana watoto na wkt mwngne kuzungumzia namna ya wakwake watakavokua,huyu ni mwana ume mwny dalili za kutaka kusihia kwny maisha ya ndoa

4.ANAKUCHUKULIA KAMA MKE WAKE
Chukulia kwamba uko na mpnz wako lkn jinsi anavyokuchukulia ni km mke wake. Kwa ufupi utaanza kumuona anachukua nafasi ya mume,mfano ataanza kuweka mikakati kwa ajili ya maisha yenu ya baadae,atakutambulisha kwa ndugu,jamaa na rafik zake na atakua anakushiriisha ktk kila suala linalogusa maisha yake na mwanaume huyo atakua ni mkweli na muwazi ktk kila jambo

No comments:

Umesoma hizi hapa