Promote your business for free grow your business for life you don't need to spend more money anywhere.

THIS BLOG IS SPONSORED BY AHADIWAY ,ADVANTAGES FOR JOINING AHADIWAY BOON CAREER (ABC) CHAPTER = Employment opportunities within and outside the country. , Job experience , Self -employment , Field stations, part time jobs and chances to be trained.

Wednesday, May 18, 2011

HIVI NDIVYO MAZISHI YA WAIMBAJI WAWILI WA AMBASSADORS HUKO RWANDAYALIVYOKUWAWaliokuwa waimbaji wa Ambassadors of Christ waliolala mauti Amosi,Philbert na Gatare Jim Ephraim
Waimbaji wa Ambassadors wakiwa wamebeba jeneza


Mke wa Gatare Jim Ephraim akilia

Umati wa watu ndani ya Kanisa la Waadventista Wasabato Remera wakati wa ibada ya mazishi
Baba wa Gatare Jim Ephraim akizungumza

Mama wa Gatare Jim Ephraim
Ambassadors of Christ wakiimba kwenye ibada ya mazishi kanisani Remera
Kiongozi wa kanisa la Waadventista Wasabato nchini Rwanda  (mwenyemiwani) alitoa maneno ya faraja

Maneno ya mwisho yaliyosemwa na waliofariki, wakiwa safarini kurejea Kigali, Rwanda.

1. "KAZI NILIYOTAKIWA KUFANYA KATIKA KUNDI HILI, NIMEIMALIZA.IMEBAKI KWENU KUIENDELEZA-AMOSI PHARASE 


2. "NYOTE MLIO KATIKA GARI HII, LAZIMA MJUE KILA MTU ANA JUKUMU LA KUONGOZA KUNDI HILI, HATA KAMA KESHO MIMI SITAKUWEPO.-GATARE JIM " 


3. "DADA NAKUOMBA MSAMAHA, HATA KAMA WEWE NDO UMENIKOSEA, NAMI JINSI NILIVYOPOKEA, NAWEZA KUWA NIMEKUKOSEA PIA.-MANZI PHILBERT”

 Maneno yaliyoamsha ari kwa gari zima kuombana msamaha, na haikupita dk 10, ajali ikatokea!

No comments:

Umesoma hizi hapa