Promote your business for free grow your business for life you don't need to spend more money anywhere.

THIS BLOG IS SPONSORED BY AHADIWAY ,ADVANTAGES FOR JOINING AHADIWAY BOON CAREER (ABC) CHAPTER = Employment opportunities within and outside the country. , Job experience , Self -employment , Field stations, part time jobs and chances to be trained.

Sunday, October 3, 2010

zeutamu imerudi tna jamani tuwe makini

Jamani hivi hii blog si ilifungwa au macho yetu mabovu nini?sisi tumeiona tukaona tuwape habari wadau tuifuatilie wasije waka tumulika tena si mnajau mambo yalivyou kua mwanzoni? hii hapa
http://zeutamu2.blogspot.com/

2 comments:

Anonymous said...

MMILIKI, MANGEJA WA BLOG HII KWA SASA NI NANI

Anonymous said...

ze utamu ni glob ni nzuri na inafunza jamii, kwani inasaidia watu kuweza kutunza suri zao, kutukuwa tayari kutumiwa kwa bei chee, mfano iweje wewe uwe na mpenzi wako halafu ukubali kupigwa picha za uchi. Huo si ukiukaji wa maadili. Jamii isipokuwa tayari kubadilika basi ni busara kwa Zeutamu kuanika madhambi ya jamii hiyo. Ila ningependa tuheshimu viongozi wetu wa kitaifa hususani katika picha za kutengeneza

Umesoma hizi hapa