Promote your business for free grow your business for life you don't need to spend more money anywhere.

THIS BLOG IS SPONSORED BY AHADIWAY ,ADVANTAGES FOR JOINING AHADIWAY BOON CAREER (ABC) CHAPTER = Employment opportunities within and outside the country. , Job experience , Self -employment , Field stations, part time jobs and chances to be trained.

Thursday, October 14, 2010

wale wapenzi wa maraha kazi kwenu(Frank Iyembe)ndani ya nyumba kila kitu juu watu weweee


Urban Pulse Creative inawaletea Urban Tour ikimshirikisha msanii Diamond  aka mzee wa mbagala pamoja na first lady wa Urban Pulse  Fyah Sis mwezi Novemba Ndani ya UK.  Show zitafanyika katika miji mitatu ya UK,

6th Nov. 2010
CLUB OPUS
Theatre Distric
Savoy Cresent
Milton Keynes MK9 5UP

12th Nov 2010
THE CLUB
179 – 183 London Road
Croydon, London
CRO 2LR

27th Nov 2010
PANAMA BAR
Gas ST
Birmingham
B1 2JT

Vilevile Urban Tour ikishirikiana na Tanzanian Community itakuwa inafanya Kampeni dhidi ya gonjwa la Malaria ambalo linaangamiza binadamu wengi duniani
Wote mnakaribishwa kuja na kuparty  kwa Swaga za Kibongo na UK,  badhi ya mapato yatakwenda kuchangia kwenye upambanaji wa Malaria

WOTE MAKARIBISHWA,

BARAKA

URBAN PULSE CREATIVE

1 comment:

Unknown said...

nyie wa toto wa morogoro acheni hz

Umesoma hizi hapa