Promote your business for free grow your business for life you don't need to spend more money anywhere.

THIS BLOG IS SPONSORED BY AHADIWAY ,ADVANTAGES FOR JOINING AHADIWAY BOON CAREER (ABC) CHAPTER = Employment opportunities within and outside the country. , Job experience , Self -employment , Field stations, part time jobs and chances to be trained.

Saturday, October 30, 2010

Urban Pulse Creative



Urban Pulse Creative imepata fursa ya kukutana na wawakilishi wa Malaria Hapa Uk ambao pia ni washiriki na waandaji wa Miss Africa South Yorkshire pamoja na Miss Nubian UK ili kuunga mkono mchakato wa Urban Tour itakayo mshirikisha Diambond na Miss Ze Fyah Sis kutoka Urban Pulse ili kuchangia vita dhidi ya Malaria. Tour hii imedhaniwa na Aset.

6th NOVEMBA
CLUB OPUS
Theatre Distric
Savoy Cresent
Milton Keynes MK9 5UP
12 NOVEMBA
THE CLUB
179 – 183 London Road
Croydon, London
CRO 2LR
27 NOVEMBA
PANAMA BAR
Gas ST
Birmingham
B1 2JT
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi 00 44 78655 94576
or email
urbanpulsecreative@googlemail.com
WOTE MAKARIBISHWA
Frank Eyembe
URBAN PULSE CREATIVE MEDIA
Urban Pulse Creative leo ilipata fursa ya kuingia kwenye Kipindi Sporah show kinachorushwa hewani na Ben TV hapa UK pamoja na Star Tv Tanzania ili kufanya kampeni ya Urban tour kwa ajili ya kusaidia na kuchangia vita dhidi ya Malaria. Ugonjwa huu unaua mamilioni ya watu wengi duniani kuliko Ukimwi, kitu cha kushangaza na kusikitisha ni kwamba unaweza kutokomezwa na kuangamizwa milele ikiwa kila mtu akielimika na kuamua kuchukua majukumu ya kuviangamiza vijidudu hivi hatari kwa kuanzia kusafisha na kutunza mazingira bila ya kulaumu wala kunyooshea vidole serikali pekee wala Taasisi zozote.

Urban Pulse Ikishirikiana Na Aset pamoja na Tanzania Community inawaletea Msanii Daimond kutoka Tanzania pamoja na Mish the Fyah Sis Kutoka urban Pulse ili kuwapa burudani murwa. Baadhi ya mapato yatakayo patikana yatakwenda kuchangia Kampeni ya kupambana na Malaria in Africa. Wote Mnakaribishwa. Tafadhali wahi mapema. Terehe na ukumbi ni kama zifuatavyo:

No comments:

Umesoma hizi hapa