Promote your business for free grow your business for life you don't need to spend more money anywhere.

THIS BLOG IS SPONSORED BY AHADIWAY ,ADVANTAGES FOR JOINING AHADIWAY BOON CAREER (ABC) CHAPTER = Employment opportunities within and outside the country. , Job experience , Self -employment , Field stations, part time jobs and chances to be trained.

Wednesday, October 13, 2010

Nani muoga

MDAHALO WA FAMILIA UNAPOZUA MZOZO

Siku moja mtu na mkewe walikuwa wanabishana ni nani muoga kuliko mwenziwe,mume anasema mke muoga na mke anasema mume muoga ndipo walipoamua kuwauliza watoto wao:
Baba = Naomba kuwauliza ni na nani kati ya mimi na mama yenu alie mwoga zaidi?
Mtoto 1 = mama mwoga sababu anaogopa hata kutoka nje usiku wakati baba akiwa amesafiri.
Mtoto 2 = Baba ndio muoga zaidi maana anaogopa kulala peke yake mama kama siku akiondoka anamuita Msichana wakazi analala nae !!!!by  fj.

1 comment:

Anonymous said...

ha ha ha naughty man..i like this..

Umesoma hizi hapa