Promote your business for free grow your business for life you don't need to spend more money anywhere.

THIS BLOG IS SPONSORED BY AHADIWAY ,ADVANTAGES FOR JOINING AHADIWAY BOON CAREER (ABC) CHAPTER = Employment opportunities within and outside the country. , Job experience , Self -employment , Field stations, part time jobs and chances to be trained.

Thursday, September 23, 2010

CHAMA CHA MAPINDUZI SHINA LA CCM READING

CHAMA CHA MAPINDUZI 
SHINA LA CCM READING
             KIKAO CHA SHINA - 25/09/2010 (Jumamosi) 
 
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Shina la Reading . Mnakaribishwa kwenye kikao cha shina cha kila mwezi,ambapo tutajadili mambo mbali mbali yanayohusu shina letu. Jitokezeni kwa wingi  ,mjulishe mwanachama mwenzako pia.
 
Anuani: The Warehouse
01 Cumberland Road
Reading
RG1 3LB


Muda: Saa 10 Jioni  - Saa 12 Jioni.  
Kutakuwepo na Kadi za CCM ambazo zitatolewa kwa Wanachama wapya na wale ambao kadi zao uanachama zimekwisha muda (Kadi paundi Tatu - £3, Ada ya mwaka paundi Kumi na Mbili - £12),Akikisha unakuja na ada ya Kadi

No comments:

Umesoma hizi hapa