RESTOLYF
Ni bidhaa ambayo ina asilimia kubwa ya Ant – Aging (Inazuia kasi ya mtu kuzeeka na Kuchoka) nzuri sana kwa matumizi ya afya ya mwanadamu.
Ina Vitu Vilivyomo Vifuatavyo :
* Grape Skin Extract - Ni mojawapo ya vyanzo thabiti vinavyozuia kupata magonjwa.
* Japanese Knotweed - Ni mojawapo ya vyanzo thabiti vinavyozuia kupata magonjwa.
* Premium Red Wine Extract – Inaongeza umri wa mtu kuishi.
* Grape Seed Extract – kiondosha sumu bora kiongeza umri wa mtu kuishi.
* Concentrated Red Wine Powder (Haina aina yoyote ile ya kilevi) - Inaongeza umri wa mtu kuishi.
Bidhaa hii ya RESTOLYF husaidia vitu vifuatavyo :
Kuzikinga chembe na Madhara hayo ili zisiweze kushambuliwa nakuzifanya ziizshi muda mrefu
Husaidia ongezeko la uzalishwaji wa chembe hai ambazo huupa mwili nguvu na kuukinga dhidi ya magonjwa mbalimbali
Husaidia wagonjwa wa muda mrefu ambao chembe hai zao zimeshambuliwa sana na kusababisha mwili kudhoofu kwa kuwezesha kuzalisha chembe hai kwa wingi na kuzilinda zisiendelee kushambuliwa zaidi hasa wagonjwa wenye maradhi kama ya Saratani, Kisukari, Upungufu wa Kinga Mwilini nk.
SABABU ZA WATU KUFA NA KUZEEEKA/WATU HUFA NA KUZEEKA KWASABABU ZIFUATAZO :
· Sababu za kuzeeka haraka - Kutokana na upungufu wa uzalishwaji wa chembe hai mwilini
· Sababu za Kufa – Kutokana na kasi ya kufa kwa chembe hai mwilini sababu hizo huchochewa na vielelezo tajwa hapo awali
· Kutokana na mfumo mbaya wa maisha na vyakula ambavyo tunavyokula havina Virutubisho vya kutosha.
Je Ungependa Uishi Miaka 125?
Suluhisho la Tatizo hili tumia bidhaa bora ya RESTOLYF
KWANINI UTUMIE RESTOLYF
MANUFAA YA BIDHAA YA RESTOLYF KIAFYA :
1. Inarefusha maisha na kumfanya mtu aishi miaka mingi akiwa mwenye nguvu na kumuepusha na magonjwa kama Kisukari, Kansa, Shinikizo la damu nk.
2. Inaondoa muonekano wa uzee na kukufanya uonekane kijana zaidi.
3. Inapunguza uwezo wa chembe hai kufa na kufanya chembe hai zizaliane kwa wingi.
4. Inaondoa uzito usiohitajika mwilini kwa kuondoa mafuta mabaya yanayosababisha magonjwa mbalimbali mwilini
5. Inasaidia kurekebisha kiwango cha sukari mwilini na kumfanya mtu kutokuwa na uwezekano wa kupata Kisukari, kiharusi na kupooza.
6. Inazuia changamoto inayotokana na uvutaji sigara na madhara yanayosababishwa na moshi wa sigara.
7. Inamsaidia mvutaji sigara kuacha kuvuta.
8. Kuzikinga chembe hai na Madhara hayo ili zisiweze kushambuliwa na kuzifanya ziishi kwa muda mrefu
9. Husaidia ongezeko la uzalishwaji wa chembe hai ambazo huupa mwili nguvu na kuukinga dhidi ya magonjwa mbalimbali
Husaidia wagonjwa wa muda mrefu ambao chembe hai zao zimeshambuliwa sana, na kusababisha mwili kudhoofu, kwa kuzalisha chembe hai kwa wingi na kuzilinda zisiendelee kushambuliwa zaidi hasa wagonjwa weye maradhi ya saratani, Kisukari, Upungufu wa kinga mwilini nk.
No comments:
Post a Comment