Bi. Anna Makinda.
Bi. Anna Makinda ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Njombe Kusini kupitia CCM, Anna Makinda ndiye aliyeibuka kidedea katika kinyang'anyiro cha kumtafuta Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, zoezi lililofanyika bungeni mjini Dodoma leo hii. Makinda amemshinda mpinzani wake, Mabere Marando kwa kujizolea jumla ya kura 265 wakati Marando akiambulia kura 53 kati ya kura zote zilizopigwa na Wabunge. Zoezi linaloendelea sasa ni kumwapisha Spika huyo mpya.
we're trying to accomplish something.only gossip work for us.contact us on nitonyeni@gmail.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Umesoma hizi hapa
-
A series of official White House photographs brought together by Vanity Fair show the 'lean-back' nature of Barack Obama's ...
-
usifikiri utamu wa kufanya ngono kwamba uko ndani no way.utamu uko juu wewe kama hujui jua leo usifikiri ukiwa na kubwa ndefu ndio wanawake ...
-
watu wengi wanajikuta ni waathirika wa mchezo wa kudandia ukuta kwa sababu kadhaa. Mosi ni stori za vijiweni, kwamba wanaume wanadanganyika ...
No comments:
Post a Comment