MBUNGE mteule wa jimbo la Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi 'Mr Sugu' akiwapa mistari wanahabari waliokuwa katika viwanja vya bunge, mjini Dodoma jana, mara baada ya kuwasili hapo kwa shughuli za bunge.
....Sugu akiendelea kumwaga mistari kwa wanahabari hao.
Picha kwa hisani ya Full Shangwe.
No comments:
Post a Comment