Hivi ni kweli ccm itashinda?sielewi kabisa labda kama watanzania watakua wemelala.yaani itakuaje tusiwe na mabadiliko kidogo kila wakati tu ni habari hizo hizo.naomba jamani watanzania tuamke maana huu sio uunwana tunajinyanyasa wenyewe. na inabidi itoke ili vijana waingie serikalini tutaongozwaje na viongozi wasio jua hta kutumia computer wanayo jua tu ni kungombanma bungeni.hii sio halali kabisa.nawaomba tufikirie sana.katika kipindi cha miaka mitano raisi anatembelea tu nchi za watu hatulii nyumbani sasa anakuja na stile mpya.jamani hebu naomba tuchagie hii mada hapa toa maoni yako hapo chin ili tuchague kiongozi anaye tufaa
we're trying to accomplish something.only gossip work for us.contact us on nitonyeni@gmail.com
Friday, October 1, 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Umesoma hizi hapa
-
I got this from a contact. US Senate has passed the 'Obama Health Care' bill into law& the implementation would commence on 23/...
-
Ndugu yetu Maira wa chama cha mapinduzi aamua kurudi nyumbali kiukweli baada ya kuona ni vyema kujenga taifa lake. Akiongea kwa masikitiko...
-
A series of official White House photographs brought together by Vanity Fair show the 'lean-back' nature of Barack Obama's ...
-
Kugombana katika mahusiano au ndoa ni kawaida na sehemu ya maisha watu mnachukuliana maisha yaende sasa kuna yale maneno utakuta mwanaume ...
No comments:
Post a Comment