walibwende wanaishi marekani.wanameremeta haya mnao wajua tupeni sera zao ili tuwamulike katika anga za kutonyana maana wanavutia kinoma yaani uwiiiiiii.bebu tupeni habari basi wajukuu wa hii blog yetu ya kuvuvuzisha watu.tumepata u majina mawili photo: Jovitha naDyamwalle
No comments:
Post a Comment