Promote your business for free grow your business for life you don't need to spend more money anywhere.

THIS BLOG IS SPONSORED BY AHADIWAY ,ADVANTAGES FOR JOINING AHADIWAY BOON CAREER (ABC) CHAPTER = Employment opportunities within and outside the country. , Job experience , Self -employment , Field stations, part time jobs and chances to be trained.

Thursday, August 29, 2013

MATUMIZI YA MKOJO KAMA DAWA HUKO MERU KENYA

Kila Jumatano tutakuwa tukikuletea makala mapya ya Tiba Tatanishi. Mwanahabari wetu amekuwa akizuru kaunti humu nchini, kufumbua mbinu tofauti za kiajabu zinazotumiwa kama matibabu. Basi tunakupeleka hadi kaunti ya Meru ambapo wenyeji wanasadiki unywaji mkojo ni tiba ya maradhi 174. Na sio hayo tu ngombe, na vifaranga pia wanatumia mbinu hii ya matibabu. Amini usiamini matibabu haya yana utaratibu. Mkojo ni sharti uwe moto, na uwe wa asubuhi na unaweza tu kutumika dakika 15 baada ya kukojoa. .

No comments:

Umesoma hizi hapa