Promote your business for free grow your business for life you don't need to spend more money anywhere.

THIS BLOG IS SPONSORED BY AHADIWAY ,ADVANTAGES FOR JOINING AHADIWAY BOON CAREER (ABC) CHAPTER = Employment opportunities within and outside the country. , Job experience , Self -employment , Field stations, part time jobs and chances to be trained.

Tuesday, July 9, 2013

Mkoa wa Kilimanjaro watia fora Onyesho la Kili Music Tour 2013


Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva,Nassib Abdul a.k.a Diamond akiwajibika jukwaani sambamba na madansa wake wakati Onyesho Kabambe la Kilimanjaro Tanzania Music Tour 2013,lililofanyika kwenye Uwanja wa Ushirika Mjini Moshi ndani ya Mkoa wa Kilimanjaro mwishoni mwa wiki na kuhudhuliwa na maelfu ya wakazi wa Moshi na mikoa ya Jirani waliokataa kupitwa na Onyesho hilo.
Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva,Nassib Abdul a.k.a Diamond akiwapagawisha mashabiki wake wakati Onyesho Kabambe la Kilimanjaro Tanzania Music Tour 2013,lililofanyika kwenye Uwanja wa Ushirika Mjini Moshi ndani ya Mkoa wa Kilimanjaro mwishoni mwa wiki na kuhudhuliwa na maelfu ya wakazi wa Moshi na mikoa ya Jirani waliokataa kupitwa na Onyesho hilo.
Wanamuziki wakongwe katika medani ya muziki wa kizazi kipya, Judith Wambura a.k.a Lady Jaydee na Joseph Haule au ukipenda waweza muita Profesa Jay wakiburudisha maelfu ya mashabiki wa muziki waliofurika katika Uiwanja wa Ushirika mjini Moshi mwishoni mwa wiki katika muendelezo wa Maonyesho ya Tamasha la Kilimanjaro Tanzania Music Tour 2013.
Mkali wa RnB,Ben Pol akifanya vitu vyake jukwaani.
kwa picha zaidi bofya read more
Barnaba Elias nae kwa nafasi yake na uwezo wake akiwajibika stejini.
Snura Mushi a.k.a Mamaa wa Majanga akionesha umahiri wake mbele ya mashabiki wake wa mkoa wa Kilimanjaro waliofurika kwa wingi katika Uwanja wa Ushirika kushuhudia onyesho la Tamasha la Kilimanjaro Tanzania Music Tour 2013.
Kundi bora la muziki wa Reggae Tanzania kwa mujibu wa tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2013.  Warriors from the East, wakionesha uwezo wao katika kulimiliki jukwaa kwenye onyesho la tatu la Tamasha la Kilimanjaro Tanzania Music Tour 2013,lililofanyika kwenye Uwanja wa Ushirika mjini Moshi mwishoni mwa wiki.
Mkali wa Miondoko ya Miduara,AT akiwapagawisha mashabiki wake lukuki ndani ya Uwanja wa Ushirika mjini Moshi.
Kundi bora la muziki kwa mujibu wa tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2013,Jambo Squard, wakionesha ubora wao katika jukwaa la tatu la ziara Kilimanjaro Tanzania Music Tour 2013 zinazoendelea nchi nzima.
Mwamba wa Kaskazini, John Makini akifanya vitu yake jukwaani.
Roma Mkatoliki.
Mwanamuziki bora wa Hip Hop 2013, Kala Jeremiah akiwarusha mashabiki wake juzi katika viwanja vya Ushirika jijini Moshi.
nyomii
Jay Dee
Prof. Jay a.k.a Mti Mkavu.
Swagga za Diamond na timu yake jukwaani.
Wakazi wa Moshi na Mlima wao Kilimanjaro.
Wadau wa Moshi wakikata kiu na kilaji cha Kilimanjaro
Meneja Masoko wa TBL,Mamungai (shoto) Meneja wa Bia ya Kilimanjaro,George Kavishe (kulia) pamoja na wadau ndani ya uwanja wa Ushirika mjini Moshi.
Wadau wakipata Bonge la Kiburudisho.
Snura na Mapacha wake.
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro,George Kavishe (pili kushoto) wakiwa na Lady Jay Dee,Prof. Jay,Gardiner Habash na Kiboya.
Wakali wa Mang'ong'oo a.k.a Jambo Squad.
Kala Jeremier na AT.
Wadau.
Wadau 
Wapiganaji ndani ya Nyumba.
 Mdimu na Daniel Lema wa Integrated.
 Shangwe zilitawala muda wote wa Show.
 Ma MC,Abdallah Ambua na Zembwela 
 Nyomi la hatari.
Umati wa mashabiki wa muziki wa kizazi kipya waliofurika katika viwanja vya Ushirika mjini Moshi kushuhudia tamasha la tatu la ziara ya Kilimanjaro Tanzania Music Tour 2013 zinazoendelea nchi nzima.

No comments:

Umesoma hizi hapa