Promote your business for free grow your business for life you don't need to spend more money anywhere.

THIS BLOG IS SPONSORED BY AHADIWAY ,ADVANTAGES FOR JOINING AHADIWAY BOON CAREER (ABC) CHAPTER = Employment opportunities within and outside the country. , Job experience , Self -employment , Field stations, part time jobs and chances to be trained.

Friday, July 6, 2012

Nafasi za kazi zitaanza kutolewa kupitia www.bonglob.com

Tovuti ya kimataifa bonglob.com ime Tangaza kuanza kutoa kazi kwa kila atakaye kua anahitaji. Mtandao huo ume toa taarifa hiyo rasm jana kwama kuanzania Tarehe kumi na saba mwezi huu wa saba unampango wa kusaida watu milioni tatu kupata kazi maeneo mbalimbali duniani. Nitonyeni ikiongea na CEO wa kampuni hiyo ndugu James Ahadi Obedi alisema kumekua na na matabaka ya watu katika jamii ambao wanatoa kazi au kugawa kazi kwa ndugu zao ao kwa namnanyingine ambayo dugu james hakuisema amabay ameiona sio ya haki. Ila kwa sababu yeye amekua na Njozi ya kusaidia watu sikuzote aliamua kukaa chini na kubuni jinsi ambavyo anaweza kusaidia watu wengi kwa pamoja ni kutafuta au kutengeneza mtandao utakaokua unasaidia watu kuajiriwa kulingana na qualification zao au uzoefu wa kazi walio nao na kuasaidi wasio na uzoefu au waliotoka shule kupata haki sawa na wengine kuajiriwa. Nd. James alisisitiza kwamba ni lazima kila mtu ajisajili katika mtandaohuo hatakama ana kazi maana ni sehemu ya kupata ujuzi na uzoefu mpya. akiongezea alisema Itakua ni jambo la busara kwa watu wa Africa kupata sehemu ambayo inawajali na kuwasaidia kila mtu binafsi.
Kuna faida nyingi sana kutumia mtandao huu kwa maana hivi karibuni utaweza kumsaidia kila mmoja kutuma (SMS) ujumbe kwa njia ya simu kwenda mtandao wowote duniani bure bila garama maana tekinolojia ya mtandao huo ni ya hali ya juu sana.
Tulipo maliza kuongea naye tukaona ni vyema tuwa tonyeni habari hizi. na mwandishi wetu. bonyeza hapa kujisajili


No comments:

Umesoma hizi hapa