Lisa Jensen akipunga mkono wakati akiondoka katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwl. Julius Nyerere jijini Dar es Salaam akielekea nchini China kushiriki shindano laMiss World 2012. Lisa anaiwakilisha Tanzania katika shindano hilo.

Lisa akisikiliza jambo kutoka kwa Mkurugenzi wa Lino International Agency, Waandajai wa Miss Tanzania, Hashim Lundenga (hayupo pichani).

Lundenga akimsindikiza Lisa kwenda kukaguliwa tayari kwa safari ya nchini China.

Lisa akiwaeleza jambo Mkurugenzi wa Lino International Agency, Waandajai wa Miss Tanzania,Hashim Lundenga (kushoto) na Afisa Habari wa Kamati ya Miss Tanzania, Hidan Rico

Lisa akisikiliza jambo kutoka kwa Mkurugenzi wa Lino International Agency, Waandajai wa Miss Tanzania, Hashim Lundenga

Lisa akiwaeleza jambo Mkurugenzi wa Lino International Agency, Waandajai wa Miss Tanzania,Hashim Lundenga (kushoto) na Mkuu wa Itifaki wa kamati ya Miss Tanzania, @ nitonyeni

No comments:
Post a Comment