Promote your business for free grow your business for life you don't need to spend more money anywhere.

THIS BLOG IS SPONSORED BY AHADIWAY ,ADVANTAGES FOR JOINING AHADIWAY BOON CAREER (ABC) CHAPTER = Employment opportunities within and outside the country. , Job experience , Self -employment , Field stations, part time jobs and chances to be trained.

Monday, July 2, 2012

MASTAA WA BONGO KU ACT MOVES ZA 'X'..??!!Kuna tabia imepamba moto kutoka kwa wamachinga wauza muvi mbalimbali nchini zikiwa ni pamoja na zile movie maarufu za kibongo, ya kuweka  picha feki za wasanii wa bongo  na kusambaza Cd zenye picha za wasanii hao kwa nje ya kava na kujidai na kukuconvince kwamba wasanii hao ndio wapo kwenye muvi hizo za X ili kupata wanunuzi wengi.


 Habari toka gazeti la Ijumaa la nchini Tanzania limeongelea tabia hii  ya kuchafua wasanii wa Bongo Movies nchini Tanzania na ilifanikiwa kuzungumza na baadhi ya wasanii waliochafuliwa akiwemo Wema, Aunt Ezekil and bi shost Lulu; ambao wote walionekana kuchukizwa na hili jambo na kusema wanalifuatilia ili kuwakomesha hao wanaowashushia point / kuwaharibia cv katika jamii kiasi hiki..


Blog ya sweethome imekerwa sana na tabia hii na inaomba kutokee maloya a.k.a mawakili a.k.a wanasheria a.k.a watetea haki za watu wawatetee wasanii hawa  na kuwatia mbaroni watu hao maana hii ni ukiukwaji wa sheria....

No comments:

Umesoma hizi hapa