Promote your business for free grow your business for life you don't need to spend more money anywhere.

THIS BLOG IS SPONSORED BY AHADIWAY ,ADVANTAGES FOR JOINING AHADIWAY BOON CAREER (ABC) CHAPTER = Employment opportunities within and outside the country. , Job experience , Self -employment , Field stations, part time jobs and chances to be trained.

Tuesday, May 29, 2012

Usipocheka hapa utakua unamatatizo hii ni kali ya mwaka

Jamaa mwenye Volkswagen yenye tinted alikutana na jamaa mwenye Hammer kwenye trafic light.

Volkswagen: Oyaa gari lako lina simu?


Hammer: Ndio, we lako linayo?


Volkswagen: Yap. gari lako lina Kitanda?


Hammer: Hapana , lako je?


Volkswagen: Yap....taa zikawaka wakatimua. Jamaa mwenye Hammer akaona uchungu sana Kivolkswagen kiwe na kitanda gari lake halina, akaenda kufanya modification akatengeneza bonge ya kitanda, akaanza kumsaka mwenye volkswagen amkoge. Siku moja mapema akaiona Volkswagen imepaki madirisha yamefungwa, akagonga kioo, dreva wa Volkswagen akatoka.


Hammer: Unanikumbuka?


Volkswagen: Ndio kuna nini?
Hameer: Gari yangu ina dabo bed
Volkswagen: We chizi nini yaani umenitoa bafuni uniambie utumbo huo?

No comments:

Umesoma hizi hapa