Promote your business for free grow your business for life you don't need to spend more money anywhere.

THIS BLOG IS SPONSORED BY AHADIWAY ,ADVANTAGES FOR JOINING AHADIWAY BOON CAREER (ABC) CHAPTER = Employment opportunities within and outside the country. , Job experience , Self -employment , Field stations, part time jobs and chances to be trained.

Tuesday, May 10, 2011

Huruma!....

Mtoto huyu ambaye anasoma shule ya Viziwi Iringa haoni, haongei wala hasikii. Inamaana tangu azaliwe hajaona chochote, hajasikia wala hajazungumza. Niambie maisha gani haya.... Kiukweli anahitaji kupendwa, kujaliwa na kuthaminiwa! hakuna anayejua nini huwa anakiwaza...na mara zote akiwa na shida hulia kwa sauti kubwa! Swali...hivi anavipata vitu hivi?...Mungu amsaidie sana...

No comments:

Umesoma hizi hapa