Promote your business for free grow your business for life you don't need to spend more money anywhere.

THIS BLOG IS SPONSORED BY AHADIWAY ,ADVANTAGES FOR JOINING AHADIWAY BOON CAREER (ABC) CHAPTER = Employment opportunities within and outside the country. , Job experience , Self -employment , Field stations, part time jobs and chances to be trained.

Friday, November 12, 2010

Wafanyakazi hao wakiwa uchi katika

Wafanyakazi hao wakiwa uchi katika "ofisi" yao.
WANAWAKE wafanyakazi katika saluni moja huko Hampshire, Uingereza, wamechapisha kalenda wakiwa uchi katika saluni yao. Nia yao ni kupata fedha kwa ajili ya ukarabati wa kanisa moja la zamani la Old Basing.

Katika kudhihirisha kwamba wana kipaji kingine zaidi ya kuwapamba wanawake, wafanyakazi hao walipiga picha hizo wakiwa wameshikilia au kukaa kwenye zana ambazo huzitumia katika saluni hiyo.

Laura Haystaff, mtayarishaji wa kalenda hiyo alisema: "Nilishangaa kutokana na utayari wa wafanyakazi hao kupigwa picha bila matatizo."

No comments:

Umesoma hizi hapa