Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilbroad Slaa akipiga kura katika kituo cha Gongali kilichopo katika kata ya Qurus wialayani Karatu mkoani Arusha mapema leo asubuhi.
Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilbroad Slaa akipata maelezo kutoka kwa wasimamizi wa kituo cha kupigia kura cha Gongali wilayani Karatu leo.
we're trying to accomplish something.only gossip work for us.contact us on nitonyeni@gmail.com
Monday, November 1, 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Umesoma hizi hapa
-
KUJISTIRI ndio hasa lengo la awali la uvaaji. Na kupendeza ni jambo la pili ambalo limekuwa likizingatiwa sana na wanawake. Lakini ili haya...
-
Wapare ni kabila kutoka milima ya Pare, Mkoa wa Kilimanjaro, kaskazini mwa nchi ya Tanzania. Lugha yao ni Kipare (au Chasu). Wapare wanat...
-
watu wengi wanajikuta ni waathirika wa mchezo wa kudandia ukuta kwa sababu kadhaa. Mosi ni stori za vijiweni, kwamba wanaume wanadanganyika ...
-
Watu hawajawahi kuridhika, na kamwe hawajapata kutoshelezwa na kitu chochote, kufikia hatua ya kushuka chini toka shimo moja hadi kulifiki...
No comments:
Post a Comment