Hivi ni kweli ccm itashinda?sielewi kabisa labda kama watanzania watakua wemelala.yaani itakuaje tusiwe na mabadiliko kidogo kila wakati tu ni habari hizo hizo.naomba jamani watanzania tuamke maana huu sio uunwana tunajinyanyasa wenyewe. na inabidi itoke ili vijana waingie serikalini tutaongozwaje na viongozi wasio jua hta kutumia computer wanayo jua tu ni kungombanma bungeni.hii sio halali kabisa.nawaomba tufikirie sana.katika kipindi cha miaka mitano raisi anatembelea tu nchi za watu hatulii nyumbani sasa anakuja na stile mpya.jamani hebu naomba tuchagie hii mada hapa toa maoni yako hapo chin ili tuchague kiongozi anaye tufaa

No comments:
Post a Comment