Promote your business for free grow your business for life you don't need to spend more money anywhere.

THIS BLOG IS SPONSORED BY AHADIWAY ,ADVANTAGES FOR JOINING AHADIWAY BOON CAREER (ABC) CHAPTER = Employment opportunities within and outside the country. , Job experience , Self -employment , Field stations, part time jobs and chances to be trained.

Thursday, September 16, 2010

tanzania siasa haileweki
habari za kusikitisha sana wakati Raisi anaangu mtu anasimama na kusema ccm oyee.Hivi kweli hili ni jambo la kufurahisha?heb tuliangalie kwa umakini sana au huyu mtu aliua anajua kinachoendelea hadi aseme ccm oyee.hivi jamani ni haki kweli hii.mi nataka huyumtu aliyesema ccm oyee wakati alipo anguka raisi afanywe uchunguzi wa kina maana lilelilikua ni jambo la huzuni yeye analifurahia sio haki kabisa maana ni kitu ambacho watu wote wame kiona dunia nzima sio tanzania peke yae.hebu toeni maoni yeanu jamani

No comments:

Umesoma hizi hapa