sasa hii inapambana na ya RC kabisa.huyu yupo landani afadhali yeye anavaa hivi sio kama dada RC.Lakini hat hii inautatakidogo mi naogopa kusema kunani nini ngoja uone wadau wa
Slough wanajua zaidi we bonyeeee toa maoni yako nani zaidi katika uvaaji mzuri kati ya RC na huyu picha si unaziona bwana
1 comment:
huyu dad wa ukweli kabisa mimi namkubali sana na anajitahidi sana kwa mavazi mi nakuku bali dad yangu.michuzi
Post a Comment