Promote your business for free grow your business for life you don't need to spend more money anywhere.

THIS BLOG IS SPONSORED BY AHADIWAY ,ADVANTAGES FOR JOINING AHADIWAY BOON CAREER (ABC) CHAPTER = Employment opportunities within and outside the country. , Job experience , Self -employment , Field stations, part time jobs and chances to be trained.

Thursday, September 30, 2010

Sandu 'Kidbwoy' George avamiwa na majambazi na kujeruhiwa vibaya

mtangazaji na muandaaji wa music wa kisasa  huyu amepata kashikashi kubwa sana habari ni hii kama tulivyo tumiwa:he was at home in Mwanza. He has a music studio setup at the place where he stays. Some guy came disguised as a customer then ended up attacking him with something on his head.

Walitaka kumfanyia surgery kuprevent Damu kufikia Ubongo Coz walinotice a tiny amount had spilled already.But walicome up na treatment nyingine ambayo imesaidia kusafisha that blood, plus they hope it will help repair the minor fracture.

So far inaonyesha improvements coz memory yake inaonekana kuimprove sana tofauti na mwanzo. Plus amaenza pata ngvu za kukaa na kula.

Inaonekana ni business rivarly, ingawa Polisi bado inaendelea na Uchunguzi. 

No comments:

Umesoma hizi hapa