Huyu demu hajijui habari hii hapa mambo wazee wa nitonyeniiiii, huyu bint mi namkubali kinoma, ukimuona ni kama model (na ametulia) ila yeye hajijui tu nashangaa mpakahivisasa hajaenda kushiriki umodel
oya mwenyewe hajui kama nimetoa picha yake!! ila nataka apate ujumbe, kwakuwa cwezikumtel facetoface
1 comment:
kwanini usimface na kumwambia na kumpa ushauri unaohitajika, maana hata ukiweka picha yake hapo ujumbe haujamfikia ipasavyo, wake up man mface umwambie ili afahamu, picha haijafikisha ujumbe kama ufikiliavyo...lol
Post a Comment