Ndugu zanguni kina kaka na wadada wenye magari 4 wheels drive eg Landcruisers Vx/v8, prados, Vogue, X5,Murano, Audi, Santafee,Mabasi, Pajero etc kuna ma kampuni ya wazungu investors hewa wameingia Dsm wakisema wanahitaji haya magari na kukuahidi ku kulipa dola 100 hadi 200 kwa siku so kwa mwezi unapata kitu km $3, 000 hadi $6, 000!!!
Then wakichukua yakifika magari10 hadi 15 hadi 20 wanayaendesha na madereva wao wanayatorosha nje ya Tz,Rwanda, Burundi, Zambia, congo nk!! Watu wameshalizwa jaman kwa kuibiwa magari ya kifahari na hata mm wamenifuata watu wa namna hii kunipa hili deal, nikakataa! So guys be careful with these sweet deals!
No comments:
Post a Comment