Mkurungenzi msaidizi Wizara ya Kazi na Ajira, Bw.Ally Msaki akisoma hotuba wakati akifungua mkutano wa kimataifa wa siku tatu kutoka nchi mbalimbali za Afrika unaojadili wafanyakazi wa majumbani , wa ndani kwa nchi za Afrika ikiwemo Tanzania. Mkutano hauo uliandaliwa na shirika la kazi duniani ILO unaofanyika kwenye ukumbi wa Kazi House ILO jijini Dar es salaam leo. Wawakilishi kutoka nchi za Afrika wakiwa kwenye mkutano wa siku tatu wa kujadili wafanyakazi wa majumbani ambao umefanyika katika ukumbi wa Kazi House, jijini Dar es salaam
Wafanyakazi wa majumbani wakiwa wamesimama na mabango wenye jumbe mbalimbali wakati wa mkutano wa kimataifa wa siku tatu kutoka nchi mbalimbali za Afrika unaojadili wafanyakazi wa majumbani kwa nchi za Afrika uliondaliwa na shirika la kazi duniani (ILO) ambao umefanyika leo kwenye ukumbi wa Kazi House Ilo jijini Dar es salaam . Wawakilishi kutoka nchi za Afrika wakiwa kwenye mkutano wa siku tatu wa wakujadili wafanyakazi wa majumbani ambao umefanyika leo katika ukumbi wa Kazi House, jijini Dar es salaam
Mkurungenzi msaidizi wa Wizara ya kazi na ajira Bw. Ally Msaki akiwa kwenye picha ya pamoja na wawakilishi kutoka nchi za Afrika mara baada ya kufungua mkutano wa kimataifa wa siku tatu kutoka nchi mbalimbali za Afrika unaojadili wafanyakazi wa majumbani kwa nchi za Afrika. Mkutano huo umeandaliwa na shirika la kazi duniani (ILO) na umefanyika katika ukumbi wa Kazi House Ilo, jijini Dar es salaam leo.
(PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE)
No comments:
Post a Comment