Promote your business for free grow your business for life you don't need to spend more money anywhere.

THIS BLOG IS SPONSORED BY AHADIWAY ,ADVANTAGES FOR JOINING AHADIWAY BOON CAREER (ABC) CHAPTER = Employment opportunities within and outside the country. , Job experience , Self -employment , Field stations, part time jobs and chances to be trained.

Tuesday, November 13, 2012

JOEL OSTTEEN



Tuesday, November 13, 2012

HATU PASWI KUKATA TAMAA

Tunaishi kwenye jamii ya watu walio na mitazamo tofauti juu ya maisha,wana tenda matendo tofauti,wana fikiri kitofauti,hawafanani wanapo onyesha hisia zao juu ya masuala mbali mbali ya kimaisha.

kila mmoja ana mfumo wake wa maisha,na kila siku watu wanapoendelea na maisha,hukutana na changamoto mbali mbali za kimaisha.


Tumetofautiana jinsi tunavyokabiliana na kuta tua changamoto hizo,wapo wengine wanaokata tamaa ya maisha,kwa sababu ya matatizo yanayo wakumba.

Hakuna anayependa,kukumbwa na matatizo,ukiona huna matatizo mengi,mshukuru Mungu,ujue ni neema yake ipo juu yako.Ninacho amini ni kwamba “Hatu kuumbiwa kukata tamaa” ,lakini kuna watu tayari wameshakata tamaa na maisha,na hatuwezi kuwa acha waendelee na kukata tama,ungana nami katika kuihamasisha jamii yetu,ili tuone watu wakihamasika na kuyafurahia maisha.



Kama unajifunza kitu,na unahamasika,kupitia blog hii,ni andikie ujumbe kwenye e-mail yangu(baraka1990@gmail.com),maoni yako ni ya muhimu kwangu na nina yaitaji,ili niweze kuwa katika nafasi nzuri ya kuhamasisha jamii yetu.

Monday, November 12, 2012

JOEL OSTTEEN

Watu wengi sana,wana angalia udhaifu wao,na hawa angalia uwezo wao au usahihi wao,mtu ukiangalia udhaifu wako hauta yafurahia maisha,tunapaswa kuyafirahia maisha.
Angalia uwezo ulionao,jipange na utumie uwezo wako,muda mwingi fanya vitu vinavyoendana na uwezo wako

No comments:

Umesoma hizi hapa