Promote your business for free grow your business for life you don't need to spend more money anywhere.

THIS BLOG IS SPONSORED BY AHADIWAY ,ADVANTAGES FOR JOINING AHADIWAY BOON CAREER (ABC) CHAPTER = Employment opportunities within and outside the country. , Job experience , Self -employment , Field stations, part time jobs and chances to be trained.

Wednesday, August 10, 2011

BREAKING NEWS:



 

MNADHIMU MKUU WA JWTZ (SHIMBO) CHINI YA ULINZI WA POLISI WA INTERPOL KWA UFISADI WA TRILLION 3
MNADHIMU MKUU WA JWTZ LUTEN JERALI ABDULRAHMAN SHIMBO
Shimbo na wizi wa Trilioni 3: Apata mshtuko na kuzirai!
Hali ilivyokuwa:
MNADHIMU MKUU WA JWTZ LUTEN JERALI ABDULRA
JK alienda AFRICA YA KUSINI majuzi na alikuwa anajaribu kuomba msaada kuisaidia TZ, wakamwambia hatutaweza kukusaidia maana una watu wana hela ambazo ni zaidi ya ambazo tungekusaidia. Ndipo wakamfahamisha juu ya Mnadhimu wetu kuwa na account huko yenye zaidi ya TZS zaidi ya trilioni 3. Habari hii ilimshtua JK naye akataka ufanyike uchunguzi ambao uliibuka na usahihi wa taarifa toka SA kwani ilikutwa kweli jamaa ana hela hizo.
Inasemekana Interpol wamempatia Afande Shimbo ukweli wa Account zake nje ya nchi zenye pesa nyingi sana na amechukuliwa chini ya Ulinzi wa Interpol kwenda Africa ya kusini kwa matibabu.
Amekuwa akiwakata posho wanajeshi wanaoenda kujitolea kusaidia mataifa ya nje na wa ndani.
Hela nyingi zaidi ni pale alipokata fungu kubwa sana toka fedha za shukrani toka Comoro baada ya Tanzania kuisaidia nchi hiyo. Fedha hizo zilitakiwa kugawiwa kwa wanajeshi kwa kuisaidia nchi hiyo lakini mkuu huyu alizipiga panga na hawakujua kuwa alikuwa kafungua akaunti nje ya nchi na kuzihamishia kule.
Ameshindwa kueleza kwa undani alizipataje pesa hizi kwenye akaunti na aliishiwa nguvu na kudondoka!
Si Shimbo pekee...
Kuna kijana mdogo sana anaitwa PTE Gwilla, huyu yupo Kurugenzi ya DPA ana-deal na salaries za wanajeshi... Kinachoshtua ni askari mdogo sana lakini alikuwa ana maghorofa mawili makubwa, magari aina ya Coaster mawili na benki alikutwa na zaidi ya 73mil TZS (kwa mshahara wake asingeweza kuwa na vitu hivi)
Uchunguzi umeonyesha Gwilla alikuwa anacheza na mishahara ya wanajeshi kwa muda mrefu (4yrs) kwa aidha mishahara hewa, kukata 500 kwa kila mwanajeshi (4yrs) na zaidi akawa anakula hela za likizo za wanajeshi kwa zaidi ya miaka 3 (2009-2011).
Huyu naye kakamatwa na anashikiliwa Mgulani.
Kuna mwingine...
Ni Mkurugenzi wa malipo jeshini, Brigedia (CC) Zakayo, naye kalamba mabilioni ya hela (kiasi sijakinasa vema bado lakini ni zaidi ya EPA) naye anashughulikiwa kwa karibu.
So far, niseme kazi nzuri Interpol, walau watu wataanza kuelewa kuwa watakuja kugundulika wakifanya uhuni wa namna hii.

1 comment:

Anonymous said...

are you guys sure about it or you just faking it? a person having this much money and he still staying in this country?
another thing if the south africans decides not to help us thn how did they know tht this guy has this much money? does this mean tht they are spyin on us?
the president should take a note of this, how can they spy on us while they cant take care on their own country!!!

Umesoma hizi hapa