Promote your business for free grow your business for life you don't need to spend more money anywhere.

THIS BLOG IS SPONSORED BY AHADIWAY ,ADVANTAGES FOR JOINING AHADIWAY BOON CAREER (ABC) CHAPTER = Employment opportunities within and outside the country. , Job experience , Self -employment , Field stations, part time jobs and chances to be trained.

Thursday, March 31, 2011

Wanaume wanapenda ngono kuliko wanavyopenda wake zao

MR/CALVIN AHADI

 

 

 

 

 

 

 

Ndio maana wanatembea na mahausi geli, machangudoa, mabaa medi, wanafunzi na kila mtu.wao wakifanya ngono na mtu haimaanishi kuwa ndio wanakupenda.Huo ni uchuguzi wangu mdogo.ninyi mnasemaje?







5 comments:

hope said...

Kweli kabisa. Wengi wao wanadai ngono ni kama chakula. Unakula kila unapojisikia na huwezi kula chakula cha aina moja daily.
Nyie wanaume nyie..!!

lea said...

hawana maana kabisa ni viumbe hatari sana wanachezea mioyo ya watu tu na kisha kujiona wajanja.....na wasivyojua kuwa wanawake ni wajanja na wasiri kupindukia kwa ndani tunawapa vya kunyonga na nje tunatoa vya kuchinja.....endelee tu ila hamna ujanja wowote ktk hayo mataptap yenu................ukweli ndo huo pinga pangua

Anonymous said...

ukweli kabisa

Anonymous said...

wapo wanaume wa aina hiyo, ki ukweli sio tabia nzuri, has kwa nyakati kama hizi tulizo nazo magojwa kila kona, unakuta amemuacha mkewake mzuri mwenye kila sifa anatoka na watu wa ajabu, hipendezi heshimuni mausiano yenu, ukijiona bado unaitaji kuruka hakuna haja ya kuoa, ka ruke vizuri. coz ndoa sio majaribio.

Anonymous said...

Wanaume tumeumbwa kupenda ngono ndio maana hata dini nyingine zina taka kuoa wake zaidi ya mmoja

Umesoma hizi hapa