vincents restaurant yaamua kuandaa mashindano ya umiss reading.
habari tulizo nazo kwa sasa ndi hizi ila tunazifanyia utafiti ili wadau mpate kitu kamilia
na mwandindishi wetu babu kayu kutoka reading,
kesho tutaongea na wahusika hao ili kupata nyeti zaidi
1 comment:
Kuna warembo wakutosha reading, Vicenti ikiweza kuandaa mashindano, itaweza kujipatia sponsor na kuendeleza umaarufu wake...
Post a Comment