Clip ya ‘AILTV NEWS SPECIAL’ Mahojiano kati ya Mtangazaji wa TV Miss Jestina George na Mkurugenzi wa masoko wa kampuni ya Locus Impex Shipping Bw Benard Chisumo, kuhusiana na Harambee ya Gongo la Mboto iliyofanywa na wakazi wa Reading UK Jumamosi ya Tarehe 26/02/2011.
HABARI ZAIDI KUHUSU HARAMBEE YA LONDON ZITAKUJA MDA SI MREFU.
Zifuatazo ni Picha za timu ya SAIDIA GONGO LA MBOTO UK wakiandaa na kupakia mizigo kwa ajili ya kusafirishwa kwenda kwa wahangwa Tanzania iliyotowelewa na baadhi ya watanzania Waishio UK.
Timu inawashukuru wale wote ambao waliweza kujitolewa kwa hali na mali kutoa misaada mbali mbali.
Mungu awabariki Watanzania,
Mungu Ibariki Tanzania.
Asanteni,
TIMU YA SAIDIA GONGO LA MBOTO-UK
Baadhi ya maboxi yenye vitu mbali mbali vikiwemo nguo, vitabu nk kwa ajili ya wahangwa wa Gongo la Mboto
Frank, Shilla, Jestina Na Ben Wakifunga Utepe kwenye Mizigo
Kushoto Frank Na Ben wakipakia Mashati
Mizigo imejaa tayari kupigwa utepe
Pozi baada ya kazi
Jestina akijaza mizigo
No comments:
Post a Comment