Habari kuhusiana na blog mpya na ambayo itakua na radio itakayo waruhusu watu wote kuchangia kwa njia ya kupiga sim tumeonge na co wa blog hiy Nd. James Ahadi Obedi.amesema radio hiyo itaanza hivi karibuni bali hakutaja muda alisema kwamba itakapokua tayari kufunguliwa atatujulisha.lakini kwa sasa ameamua kuifanya iendekimyakimya kwanza ili kuhakikisha kwamba atawapa watu kitu cha uhakika bila kukosea mahali.amesema kwa sasa endeleeni kupitia blog yake ya www.zecomed.blogspot.com
amewasihi wsikilizaji kuwa na shauku kubwa na mategemeo makubwa kwa ajili ya kuivuvuzisha dunia katika ulimwengu wa kisasas.
mwandishi wenu babu J.kayu
No comments:
Post a Comment