MDAHALO WA FAMILIA UNAPOZUA MZOZO
Siku moja mtu na mkewe walikuwa wanabishana ni nani muoga kuliko mwenziwe,mume anasema mke muoga na mke anasema mume muoga ndipo walipoamua kuwauliza watoto wao:
Baba = Naomba kuwauliza ni na nani kati ya mimi na mama yenu alie mwoga zaidi?
Mtoto 1 = mama mwoga sababu anaogopa hata kutoka nje usiku wakati baba akiwa amesafiri.
Mtoto 2 = Baba ndio muoga zaidi maana anaogopa kulala peke yake mama kama siku akiondoka anamuita Msichana wakazi analala nae !!!!by fj.
we're trying to accomplish something.only gossip work for us.contact us on nitonyeni@gmail.com
Wednesday, October 13, 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Umesoma hizi hapa
-
Wapare ni kabila kutoka milima ya Pare, Mkoa wa Kilimanjaro, kaskazini mwa nchi ya Tanzania. Lugha yao ni Kipare (au Chasu). Wapare wanat...
-
A series of official White House photographs brought together by Vanity Fair show the 'lean-back' nature of Barack Obama's ...
-
MR/CALVIN AHADI Ndio maana wanatembea na mahausi geli, machangudoa, mabaa medi, wanafunzi na kila mtu.wao wakifanya ngono n...
-
MISS. Dona Stephen Nianze kwa kuongea na wanawake. Kimaumbile wanaume wanapenda kuona wanasikilizwa na wake zao na hawakawii ‘kukuba...
1 comment:
ha ha ha naughty man..i like this..
Post a Comment