HANDSOME WA WIKI HII NI HUYU HAPA KIJANA MTANASHATI GOODLACK MTUMZIMA. ANAPATIKANA READING UK NDANI YA MAKWAJU DJS.NI MJASIRIMALI YAANI MTAFUTAJI.HAJAOA YUPOYUPO TUU.ILA ANAFANYA KAZI KWELI NGOJA TUSUBIRI ATUELEZEE HABARI ZAKE TUNATAFUTA JINSI YAKUMPATA ATUPE KHABARI NYETI MAANA HATUTAKI KUANDIKA UMBEA SANA NA KAUKWELI NI MUHIMU HEBU TUMVUVUZISHE HAPA
we're trying to accomplish something.only gossip work for us.contact us on nitonyeni@gmail.com
Saturday, October 2, 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Umesoma hizi hapa
-
Ndugu yetu Maira wa chama cha mapinduzi aamua kurudi nyumbali kiukweli baada ya kuona ni vyema kujenga taifa lake. Akiongea kwa masikitiko...
-
Baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu mbalimbali mjini Dodoma wameoza kwa matukio machafu ya ngono.. Uchunguzi wetu umebaini kuwa siyo kil...
-
Wapare ni kabila kutoka milima ya Pare, Mkoa wa Kilimanjaro, kaskazini mwa nchi ya Tanzania. Lugha yao ni Kipare (au Chasu). Wapare wanat...
-
watu wengi wanajikuta ni waathirika wa mchezo wa kudandia ukuta kwa sababu kadhaa. Mosi ni stori za vijiweni, kwamba wanaume wanadanganyika ...
-
I got this from a contact. US Senate has passed the 'Obama Health Care' bill into law& the implementation would commence on 23/...
1 comment:
kikoreeee!!!!!sana tu,nikuvona avae.....
Post a Comment