CHAMA CHA MAPINDUZI
SHINA LA CCM READING
KIKAO CHA SHINA - 25/09/2010 (Jumamosi)
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Shina la Reading . Mnakaribishwa kwenye kikao cha shina cha kila mwezi,ambapo tutajadili mambo mbali mbali yanayohusu shina letu. Jitokezeni kwa wingi ,mjulishe mwanachama mwenzako pia.
Anuani: The Warehouse
01 Cumberland Road
Reading
RG1 3LB
Muda: Saa 10 Jioni - Saa 12 Jioni.
Kutakuwepo na Kadi za CCM ambazo zitatolewa kwa Wanachama wapya na wale ambao kadi zao uanachama zimekwisha muda (Kadi paundi Tatu - £3, Ada ya mwaka paundi Kumi na Mbili - £12),Akikisha unakuja na ada ya Kadi
Kwa ufafanuzi zaidi tafadhali wasiliana na Katibu wa Shina;
Hussein Chang'a kwenye barua pepe: ccmreading2010@gmail.com
http://www.ccm-shinareading.blogspot.com/
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
we're trying to accomplish something.only gossip work for us.contact us on nitonyeni@gmail.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Umesoma hizi hapa
-
usifikiri utamu wa kufanya ngono kwamba uko ndani no way.utamu uko juu wewe kama hujui jua leo usifikiri ukiwa na kubwa ndefu ndio wanawake ...
-
Hivi unajua kuwa kingereza ni lugha ya wanyama! maana paka akiona unamcheweleshea maziwa anakwmbia "NOW" ...
-
ulisha wahi kuona kinacho fanyika kwa wanaume wasiweza kuu.....
-
Watu hawajawahi kuridhika, na kamwe hawajapata kutoshelezwa na kitu chochote, kufikia hatua ya kushuka chini toka shimo moja hadi kulifiki...
-
FLUFFY DAGMAR JEMBE! D-FRESH FLUFFY DIVA SHAFIQ AND FLUFFY EDNA EDNA EDNA MAMBO YA BLACKBERRY HAYA! MINNIE AND BABY JAMEEL IRA RIO...

No comments:
Post a Comment