tag:blogger.com,1999:blog-6731730532239782976.post8435010345973249966..comments2022-03-28T00:24:07.946+01:00Comments on nitonyeni: Maneno yanayowakera wanawake!nitonye best of education one of the best in the worldhttp://www.blogger.com/profile/12686432172691142419noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-6731730532239782976.post-85376927024234112792011-03-31T14:01:19.965+01:002011-03-31T14:01:19.965+01:00ki ukweli inaumiza sana, nakukatisha tamaa ya kuen...ki ukweli inaumiza sana, nakukatisha tamaa ya kuendelea kumpenda u mpendae, wanaume waheshimuni wenza wenu, nawanawake waheshimuni wa ume wenu, ila maneno ya kashifa hayapendezi wakati wa ugomvi kwani hata mkipatana unakuwa unajisikia vibaya ww ulie kuwa unatoa kashifa.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6731730532239782976.post-49638433372065320422011-03-31T12:34:06.308+01:002011-03-31T12:34:06.308+01:00ki ukweli inaumiza na kupoteza mapenzi kama wanvyo...ki ukweli inaumiza na kupoteza mapenzi kama wanvyo sema, sio vizuri kabisa yapo maneno ya kuambizana na mtu akakuelewa kuliko kauli zisizo na busara, tena wengine hufikia kusema najuta kwa nini niikuoa ni bahati mbaya tu. kweli jamani?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6731730532239782976.post-60676700179400835562011-03-30T21:40:17.851+01:002011-03-30T21:40:17.851+01:00Hizo ni tabia mbaya na mtu mstaarabu inapaswa asim...Hizo ni tabia mbaya na mtu mstaarabu inapaswa asimwite hata adui yake hayo maneno..., alafu hii nimeona kwa kina dada wengi anaweza akaanzisha ugomvi mbele ya marafiki ya mme wake au hata akamfata bar na kulianzisha... Mi naona ustaarabu kama mmekosana basi muitane chumbani mbali ya watoto na huko mpeane maneno na arguments zenu mkimaliza basi mnakumbatiana na let bygones be bygones....Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6731730532239782976.post-53126897852070351392011-03-30T21:38:59.781+01:002011-03-30T21:38:59.781+01:00ni kweli kabisa...., tatizo ni pale ambapo hayo ma...ni kweli kabisa...., tatizo ni pale ambapo hayo maneno yanaporudiwa rudiwa kila mkigombana mwenzio anakuita ma###y# hapo ndio panapoleta utata!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6731730532239782976.post-35323128941719156762011-03-30T21:36:23.966+01:002011-03-30T21:36:23.966+01:00Kwenye hasira people say things they dont mean.......Kwenye hasira people say things they dont mean....., na mwenza sababu huwa ameumia na yeye anataka amuumize mwenzake atasema chochote cha kumuuzi mwenzie, na kutoa hayo maneno mtu ndio anavyotoa steam.... ingawa matusi si vizuri lakini wanasema ni bora kitu ukakitoa kuliko kukiacha rohoni, sababu siku kikifumuka..., thats when unasekia fulani amengatwa sikio.... therefore sometimes arguments are jameshttp://www.bonglob.comnoreply@blogger.com